Waziri Mkuu wa zamani wa Pakistan arudishwa jela baada ya kutoka hospitali
Siku ya Jumanne, Mahakama Kuu ya nchi hiyo, iliamuru Khan, mwenye umri wa miaka 73, apelekwe katika hospitali binafsi ya Shifa iliyoko jijini Islamabadm kwa ajili ya kuchukuliwa vipimo vya afya.
21 Agosti 2026
Liberia yamshtaki aliyekuwa Makamu wa Rais, kwa tuhuma za dawa za kulevya
Mamlaka pia zimewafungulia mashitaka watu watatu wanaodaiwa kuwa wanachama wa mtandao huo — raia wawili wa Croatia na raia mmoja wa Ukraine, licha ya kuwa raia hawo hawapo nchini Liberia.
20 Agosti 2026
Watalii sita ni miongoni mwa saba waliofariki katika ajali ya helikopta nchini Kenya
Watu saba, ikiwemo watalii sita na rubani, wamefariki Jumatano wakati helikopta ilipopata ajali eneo la Mlima Ololokwe kaskazini mwa Kenya.
19 Agosti 2026
Afrika Kusini yataka viongozi kuungana kushughulikia changamoto ya uhamiaji
Rais Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini amewaomba viongozi wa nchi za ukanda huo siku ya Jumatatu kushirikiana katika kukabiliana na suala la wahamiaji wanaokwenda Afrika Kusini.
18 Agosti 2026
Trump apuuzia hali za afya za wanajeshi wa Marekani wanaopigana na Iran
Vyombo vya habari vya Marekani, wakiwemo wataalamu wa masuala ya kivita, wamewanukuu ndugu za wanajeshi hao, wakisema kuwa hali za afya za wapiganaji hao zinazidi kudhoofika.
14 Agosti 2026
Ugonjwa wa Ebola wazidi kusambaa nchini DRC
Kwa mujibu wa Shirika la Afya Duniani (WHO), mlipuko huu unaenea kwa kasi zaidi kuliko milipuko yote ya Ebola iliyowahi kutokea, na tayari unachukuliwa kuwa mkubwa zaidi katika historia ya taifa hilo la Afrika ya Kati.
13 Agosti 2026
Tangazo · 970 × 250
Tanzania kukutanisha wadau watakaojadili changamoto za Mto Nile
Jukwaa hilo litawakutanisha serikali, watunga sera, watafiti, sekta binafsi, mashirika ya kiraia na washirika wa maendeleo kujadili usimamizi wa pamoja wa maji, uhifadhi wa mazingira na maendeleo endelevu.
7 Agosti 2026
Rwanda yapokea wakimbizi wa kisiasa 177 kutoka Libya
Uhamisho wa wakimbizi hao wa kisiasa ni sehemu ya makubaliano kati ya UNHCR na Umoja wa Afrika, kwa lengo la kuwaisaidia wakimbizi waliokwama Libya.
7 Agosti 2026
Wanafunzi wa Korea Kusini matatani kwa ‘kuvunja’ na kuingia ndani ya kambi ya kijeshi ya Marekani
Wanafunzi hao, wanaume wanne na wanawake wanne, wanadaiwa kuingia ndani ya kambi ya jeshi la anga la Marekani, iliyoko karibu na jiji la Seoul.
4 Agosti 2026
Kenya yazindua bima ya lazima kwa watalii
Mpangilio huo, unahusisha gharama za matibabu ya walau Dola 20,000, Dola 25,000 kwa ajili ya uokoaji wa dharura, Dola 5,000 za kurudishwa nyumbani, Dola 1,000 kwa ajili ya huduma za afya ya akili na Dola 300 kwa ajili ya
4 Agosti 2026
WHO yatoa wito wa mifumo imara ya afya ili kuimarisha unyonyeshaji watoto
Shirika la afya duniani linasema kwamba unyonyeshaji unasalia kuwa mojawapo ya njia bora zaidi za kulinda afya na ukuaji wa watoto wachanga huku pia ukitoa faida kubwa za kiafya kwa akina mama.
2 Agosti 2026
Rais Samia Suluhu Hassan aihimiza Afrika kuondoa utegemezi wa huduma za afya kwa nchi za nje
Akizungumza wakati wa uzinduzi wa Hospitali ya Rufaa ya Julius Nyerere jijini Luanda, Angola, Rais Samia alisema kituo hicho kipya kinapaswa kuwa "kitovu cha umahiri katika tiba, mafunzo na utafiti."
2 Agosti 2026
Rais wa Liberia Boakai awafuta kazi maafisa baada ya kupatikana kwa dawa za kulevya
Kufutwa huko kwa idadi kubwa ya maafisa kunafuatia kupatikana kwa dawa za kokeni zenye thamani ya dola milioni 317.
31 Julai 2026
Rais Samia Suluhu Hassan kuzindua Hospitali ya Mwalimu Nyerere nchini Angola
Kiongozi huyo wa Tanzania, anatarajiwa kuzindua hospitali ya rufaa iliyopewa jina la Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, iliyopo jijini Luanda Angola.
31 Julai 2026
Uganda bado iko katika hatari kutokana na mlipuko wa Ebola DRC: WHO
Uganda bado iko kwenye hatari kutokana na mlipuko wa ugonjwa katika nchi jirani ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Shirika la Afya Duniani (WHO) lilisema siku ya Jumatano.
29 Julai 2026
Uingereza kuanza tena mazoezi ya kijeshi Kenya baada ya kucheleweshwa kwa hofu ya haki za binadamu
Kenya na Uingereza siku ya Jumanne walikubaliana kuanza tena mazoezi katika taifa hilo la Afrika Mashariki baada ya ucheleweshwaji wa kutia saini makubaliano mapya ya ushirikiano wa kijeshi.
28 Julai 2026
Kipindupindu chaua 170 nchini Sudan
Katika taarifa yake ya Jumatatu, Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Kuratibu Misaada ya Kibinadamu (OCHA), imesema kuwa inaendelea kuratibu shughuli za misaada katika maeneo yaliyoathirika zaidi nchini humo.
28 Julai 2026
Watumishi wa afya DRC wagoma huku maambukizi ya Ebola yakiongezeka
Takriban watumishi wa afya 100 wanasema kutolipwa marupurupu yao kunawakatisha tamaa.
26 Julai 2026
Sudan yaripoti maambukizi yanayoshukiwa kuwa ya kipindupindu katika majimbo manne
Wizara ya Afya ya Sudan imesema maambukizi yanayoshukiwa kuwa ya kipindupindu yamegunduliwa katika majimbo ya Kordofan Kaskazini, Kordofan Magharibi, Darfur Kusini na Khartoum.
22 Julai 2026
Maambukizi ya Ebola DRC yavuka 2,400; Taasisi ya Afya Afrika yataka hatua za haraka kuchukuliwa
Mkurugenzi Mkuu wa Africa CDC asema wakati wa kuchukua hatua ni sasa ili kuzuia virusi kuenea kwa kasi
22 Julai 2026
Tanzania yawaasa wasanii na watengeneza maudhui kulinda maadili ya jamii
Serikali ya Tanzania imesema itaendelea kuweka mazingira rafiki kwa sekta ya ubunifu kupitia mikopo na programu mbalimbali za kuwawezesha wasanii na wabunifu nchini.
21 Julai 2026
Shirikisho la Utalii la Kenya lapinga wito wa Gachagua kwa watalii na wawekezaji kutozuru Kenya
Aliyekuwa Naibu Rais wa Kenya, Rigathi Gachagua, ametoa wito kwa watalii na wawekezaji kutozuru Kenya hadi baada ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2027, kwa madai ya ukosefu wa usalama.
20 Julai 2026
Wanafunzi 20 wafariki katika ajali ya basi la shule Uganda
Nchi hiyo ya Afrika Mashariki ina rekodi mbaya ya usalama wa barabarani, mara nyingi kukiripotiwa ajali za mabasi ya abiria na magari ya mizigo.
17 Julai 2026
Chuo cha Oxford kuanza jaribio la kwanza la chanjo kwa binadamu inayolenga Ebola aina ya Bundibugyo
Ikifanikiwa, chanjo hiyo itakuwa ya kwanza kuandaliwa mahususi dhidi ya aina ya virusi vya Bundibugyo, ambayo kwa sasa haina chanjo iliyoidhinishwa.
14 Julai 2026