UAE inaunga mkono hatua ya kijeshi ya kufungua tena Mlango-Bahari wa Hormuz
Abu Dhabi inatathmini uwezekano wa kushiriki moja kwa moja huku mataifa makubwa yakitazamia kuunda muungano wa kulinda njia muhimu ya mafuta.
Abu Dhabi inatathmini uwezekano wa kushiriki moja kwa moja huku mataifa makubwa yakitazamia kuunda muungano wa kulinda njia muhimu ya mafuta.
Rais wa Marekani Donald Trump amesema kuwa anafikiria kwa kina kuiondoa Marekani kutoka kwa muungano wa NATO baada ya washirika muungano huo kushindwa kuunga mkono hatua ya kijeshi ya Marekani dhidi ya Iran, kulingana na
Tetemeko la ardhi la kiwango cha 7.4 katika Bahari ya Molucca, na kusababisha tahadhari za tsunami katika eneo hilo pamoja, maafisa waendelea kuthibitisha idadi ya vifo na kutathmini uharibifu wa miundombinu.
Mshauri wa kiongozi mkuu wa Iran, Velayati, anasema vita kati ya Israel na Marekani “vitaisha kwa masharti ya Iran” wakati Iran ikiendelea kudhibiti Mlango-Bahari muhimu wa Hormuz.
Hlaing anakumbukwa kwa kumuondoa madarakani Aung San Suu Kyi katika mapinduzi ya mwaka 2021.
Afisa mmoja wa Marekani amethibitisha kudunguliwa kwa ndege ya kivita ya Marekani nchini Iran, akiongeza ya kwamba operesheni ya utafutaji na uokoaji ilikuwa ikiendelea, afisa huyo aliliambia shirika la habari la Reuters
Donald Trump anasema mwanahabari atakayekataa kufichua vyanzo vya ripoti kuhusu uokoaji wa rubani wa Marekani nchini Iran atafungwa jela.
Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa linatarajiwa kupiga kura kuhusu azimio la kulinda meli za kibiashara katika Mlango-Bahari wa Hormuz.
Mbunge wa chama cha Democrat Yassamin Ansari ameshtumu uongozi wa wizara ya ulinzi kwa kuchochea vita zaidi na kusababisha vifo vya raia na hofu ya kisheria.
Nchi za Kiafrika zinaelekea kurahisisha usafiri katika bara zima kwa kutumia viza bila malipo na kwengine kufuta viza
Katika taarifa yake, jeshi la Israel limesema kuwa limeshambulia madaraja 8 yaliyokuwa yakitumika na utawala wa Iran wakati wa kusafirisha zana za kivita".
Gates amewahi kukiri kutenda kosa kubwa, kwa kujihusisha na Epstein, akisema uhusiano huo uliathiri kazi za taasisi zake.
Kulingana na baraza hilo la madiwani, uamuzi huo umefikiwa ili kuepuka kuvuruga utekelezwaji wa majukumu ya kila siku ndani ya halmashauri ya jiji hilo.
Hata hivyo, wabunge wa upinzani, wanadai kuwa kiasi hicho kitatumika kuinunulia Marekani silaha.
Watu watatu wamefariki dunia kutokana na mlipuko wa volkano ya Mlima Dukono kwenye kisiwa cha Halmahera katika jimbo la North Maluku nchini Indonesia, huku wengine 20 hawajulikani walipo.
Nchemba alisema kuwa sehemu kubwa ya shughuli za ununuzi zinaathiriwa zaidi na mitazamo, hulka na tabia za wataalamu na watendaji ikilinganishwa na upungufu wa masuala ya kisera na kisheria.
Kufuatia hali hiyo, abiria shirika hilo walishauriwa kuangalia ratiba za ndege zao kabla ya kupanga safari zao.
Rais wa Marekani Donald Trump aonya kuchukua hatua kali za kijeshi ikiwa Iran itakiuka ahadi ya makubaliano ya kusitisha mapigano.
Wakati huo huo, jeshi la Israel limesema kuwa linaendelea na operesheni za nchi kavu kusini mwa Lebanon, ambako vikosi vya Israel vinapambana na Hezbollah toka mwezi wa tatu.
Rais Donald Trump amesema kuwa hayo “siyo makubaliano” yaliyofikiwa kati ya Marekani na Iran, akiionya Iran dhidi ya kutoza ushuru kwa meli zinazopita.
Fury na Joshua wamekaribia kuzipiga kwa mara ya kadhaa, lakini majadiliano hayakuwahi kufanikiwa kipindi chote.
Kikao hicho, kilichofanyika jijini Pyongyang, kinakuwa cha kwanza wa Waziri wa Mambo ya Nje wa China kuitembelea Korea Kaskazini toka mwaka 2019.
Kikao hicho kinakuwa cha kwanza kati ya wawili hao tangu Papa Leo achaguliwa kuliongoza Kanisa Katoliki duniani, mwaka 2025.
Ziara ya kwanza ya makamu wa rais wa Marekani tangu 2011 inaambatana na juhudi za kuendeleza mazungumzo ya kusitisha mapigano Mashariki ya Kati nchini Pakistan.