Mahakama ya ICC imeripotiwa kutoa hati za siri za kukamatwa kwa maafisa watano wa Israel
Ripoti hiyo inakuja baada ya vibali vya ICC vya Novemba 2024 kwa Netanyahu na Gallant kuhusu uhalifu wa kivita na uhalifu dhidi ya ubinadamu huko Gaza.
Ripoti hiyo inakuja baada ya vibali vya ICC vya Novemba 2024 kwa Netanyahu na Gallant kuhusu uhalifu wa kivita na uhalifu dhidi ya ubinadamu huko Gaza.
Viongozi wa China na Marekani walikutana katika Ukumbi Mkuu, walitembelea maeneo ya kitalii na kufanya vikao vya kazi kwa chai na chakula cha mchana.
Kuongezwa kwa muda huo kunakuja baada ya siku mbili za mazungumzo kati ya Marekani na Marekani mjini Washington yenye lengo la kusimamisha mapigano na kuendeleza mazungumzo.
Katika taarifa iliyotolewa Alhamisi, FBI imesema inaamini kuwa Witt bado anaendelea kushirikiana na shughuli za kijasusi za Iran hadi sasa.
Moja wa washiriki wa kongamano hilo, alimjia juu kiongozi huyo kufuatia matamshi yake ya hivi karibuni ya kuwataka Wajerumani waongezewe muda wa kufanya kazi.
Tukio hilo linafuatia shambulio la awali lililofanywa na Urusi dhidi ya Ukraine, na kuua watu 24 huko Kiev.
“Alisema hatatoa vifaa vya kijeshi. Hio ni kauli muhimu sana", Rais Trump wa Marekani amesema baada ya kukutana na Rais Xi wa China, akiongeza kuwa China inataka kuona Mlango-Bahari wa Hormuz ukifunguliwa.
Abbas na Mamlaka ya Palestina, wapo katika shinikizo kubwa kutoka kwa Marekani, Umoja wa Ulaya na Umoja wa Nchi za Kiarabu, ya kuleta mageuzi na kuendesha uchaguzi, huku taifa hilo likikabiliwa na kudumaa kwa siasa na uw
Nickolay Mladenov anasema kundi la upinzani la Palestina la Hamas linaweza kubaki kama kundi la kisiasa, lakini makundi yenye silaha lazima yaweke silaha chini.
Tangazo kutoka Israel limekuja siku moja baada ya balozi wa Marekani Mike Huckabee kusema kuwa Israel ilipeleka mfumo wa Ulinzi wa Iron Dome pamoja na maafisa wa kuiendesha katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) wakati w
Rais wa Marekani Donald Trump ameanza ziara yake ya kwanza nchini China katika karibu muongo mmoja huku mazungumzo na Xi Jinping yakitarajiwa kujikita katika masuala ya Iran, Taiwan, ushuru wa forodha na usafirishaji wa
Tathmini ya kijasusi zinaonyesha kuwa Iran imerejesha uwezo wa kutumia sehemu nyingi za kurushia makombora, ikiwemo maeneo 30 kati ya 33 ya makombora yaliyo karibu ya Mlango-Bahari wa Hormuz.
Makadirio mapya ya Pentagon kuhusu gharama za vita vya Marekani yametangazwa huku gharama za Israel zikikadiriwa kuwa Dola bilioni 17.5 na Iran ambayo imepata hasara zinazokadiriwa kufikia Dola bilioni 270, inadai fidia
Mabalozi wa Marekani Mike Huckabee na Mike Waltz wamethibitisha hadharani kuwa Israel ilipeleka mfumo wake wa ulinzi wa Iron Dome na wanajeshi UAE kusaidia nchi hiyo wakati wa vita vya Marekani na Israel
Hii ni baada ya safari ya ndege iliyokuwa imeratibiwa kuwasafirisha abiria hao, kusitishwa.
Sara, ambaye ni binti wa rais wa zamani wa nchi hiyo Rodrigo Duterte, anakabiliwa na tuhuma za ufisadi na jaribio la kutaka kumuua mshirika wake wa zamani na kiongozi wa zamani wa taifa hilo, Ferdinand Marcos.
Siku ya Jumapili, Wizara ya Mambo ya Nje ya nchi hiyo ilisema kuwa mashambulizi kadhaa yalisababisha mlipuko kwenye meli ya HMM Namu inayosimamiwa na kampuni ya meli ya Korea (HMMCo).
Wanaharakati Saif Abukeshek na Thiago Avila walikuwa sehemu ya pili ya Global Sumud iliyozinduliwa kutoka Uhispania mnamo Aprili 12 ili kujaribu kuvunja kizuizi cha Israel kwa Gaza kwa kupeleka msaada kwenye eneo hilo.
Iran inasisitiza kuwa haifanyi mazungumzo na Washington, inakagua mapendekezo kupitia wapatanishi huku ikitoa wito wa kukomeshwa kwa kudumu kwa mizozo na kutilia shaka nafasi ya Marekani katika kanda.
Oktoba mwaka jana, kanisa la Anglican la nchini Uingereza, lilimtangaza Mullaly, mwenye umri wa miaka 64, kama askofu ajaye wa jimbo la Canterbury, akichukua nafasi ya Justin Welby.
Maafisa wanasema kati ya wanajeshi 303 waliojeruhiwa, 10 bado wako katika hali mahututi na 273 wamerudi kazini.
Erdogan aliangazia athari mbalimbali za kimataifa za mzozo huo, akibainisha kuwa usumbufu unaonekana katika sekta muhimu.
Ripoti za vyombo vya habari vya Marekani zinasema kuwa shambulio kwenye Kiwanja cha Ndege cha Prince Sultan katika Kharj, kusini mashariki mwa Riyadh, ni mojawapo ya uvunjaji mkubwa wa ulinzi wa Marekani tangu vita na Ir
Wiki iliopita, wizara ya Mambo ya Nje ya Lebanon inasema kuwa imemtaka balozi mteule wa Iran Mohammad Reza Shibani na kumtaka aondoke nchini kufikia Machi 29.