Ebola inaenea 'kwa kasi' huku maambukizi 71 mapya yakithibitishwa katika siku moja
Takwimu hizo mpya zinaleta jumla ya maambukizi yaliyothibitishwa kufikia 452 tangu kuzuka kwa vifo 82 vilivyothibitishwa.
Takwimu hizo mpya zinaleta jumla ya maambukizi yaliyothibitishwa kufikia 452 tangu kuzuka kwa vifo 82 vilivyothibitishwa.
Utafiti huo unaonesha kuwa wastani wa dunia wa asilimia 67 ya watu wazima hawaipendi Israel, ilhali asilimia 25 iko upande wa nchi hiyo.
Mshauri wa Kiongozi Mkuu wa Iran ameonya kuwa kutakuwa na jibu kali zaidi iwapo kutazuka mzozo mpya, akihusisha usalama wa Lebanon na mazungumzo yanayoendelea katika eneo hilo pamoja na juhudi dhaifu za kudumisha usitish
Mamlaka ya kulindawanyamapori imegundua operesheni haramu ya ufugaji wa wadudu iliyokuwa ikiendeshwa kwa ajili ya biashara ya magendo, yenye thamani inayokadiriwa kufikia Dola za Marekani 140,000.
Waziri Mkuu Narendra Modi amesema ajali hiyo "ni mbaya" huku operesheni ya uokoaji ikiendelea.
Mamlaka nchini Kuwait imesitisha usafiri wa ndege baada ya shambulio la ndege isiyo na rubani kuharibu kituo cha abiria na kujeruhi watu kadhaa.
Tom Hanks amesema kuwa Toy Story 5 inachunguza jinsi watoto wanavyozidi kutegemea simu na vifaa vya kidijitali katika maisha yao ya kila siku.
Kikosi chaa Iran cha Mapinduzi kimedai kuwa shabaha zote zilizolengwa zimeharibiwa katika operesheni ya kulipiza kisasi iliyolenga kambi ya Marekani huko Kuwait.
Wizara ya mambo ya ndani inapanga zana ya utambuzi wa uso ili kutambua watu wazima wanaojifanya kama watoto, huku taasisi za haki zikihimiza mafunzo zaidi za tathmini na usalama.
Gavana wa Makkah anasema Hajj ya mwaka huu ilijumuisha 'mifumo iliyoimarishwa ya usalama, ushirikiano na utoaji huduma' ambayo iliwawezesha mahujaji kukamilisha ibada hiyo bila usumbufu
Washington Post inaripoti kwamba maafisa wa Hazina wanawahimiza wafanyikazi kuunda sampuli za miundo licha ya wasiwasi wa kisheria, wakati wataalam wanaonya sarafu inayopendekezwa itakabiliwa na vikwazo vya kisheria na k
Wabunge wamepiga kura ya kufuta sheria za kusimamia utumwa enzi za ukoloni wa Ufaransa
Maafisa wa usalama wamewakamata watu 18, ikiwemo afisa mwandamizi wa jeshi na wataalamu wa utafiti, kufuatia kushukiwa na kuhusishwa na mtandao wa kemikali haramu za silaha.
Shambulio la Iran la kulipiza kisasi linakuja kufuatia shambulio la Marekani karibu na Uwanja wa Ndege wa Bandar Abbas kusini mwa Iran, IRGC ilisema katika taarifa.
Mkuu wa WHO Tedros Adhanom Ghebreyesus alisema Uhispania imeripoti kisa kipya katika kundi la abiria lililowekwa karantini, na kuongeza idadi hadi 13.
Eid al-Adha ya mwaka huu, moja ya mapumziko muhimu zaidi katika kalenda ya Waislamu, imefanyika licha ya hali ya kuendelea kwa ukiukaji wa makubaliano ya kusitisha mapigano yaliyotekelezwa na Israel tangu Oktoba 2025.
Hajj ni miongozi mwa nguzo tano za dini ya Kiislamu, kila Muislamu mwenye uwezo wa kifedha na afya anapaswa kutekeleza ibada hio angalau mara moja katika maisha yake.
Israel inaelezea wasiwasi wake mkubwa kwamba Rais wa Marekani Donald Trump huenda akakubali mkataba mdogo na Iran ambao unashindwa kuondoa hazina ya urani iliyorutubishwa Tehran.
Guardiola ameeleza kuwa uamuzi wake haukutokana na mgogoro wowote, bali ni wakati wake wa kuondoka
Wanaharakati wanatoa ushahidi wa mateso waliyopitia wakiwa chini ya ulinzi wa Israel, huku baadhi wakisimulia madhila waliyopitia kuwa ni mabaya kuliko hata ya wanayofanyiwa wanyama.
Jenerali wa Sahara huko Beştepe: Ziara ya Juni 4 ya Tiani Inaashiria Kufungwa na Ufunguzi wa Enzi.
Waziri Mkuu wa Israel anaripotiwa kuishinikiza Marekani kuishambulia Iran, huku Rais Trump akisisitiza kuwa kuna uwezekano wa kufikia makubaliano, kwa mujibu wa taarifa za vyombo vya habari.
Kulingana na taarifa iliyotolewa na MICT, Mei 20, 2026, uamuzi huo umefikiwa kufuatia kifo cha Kabuga, aliyefariki dunia Mei 16, 2026 jijini The Hague nchini Uholanzi.
Ripoti ya gazeti la The New York Times imesema kuwa mpango wa Marekani ulikuwa ni kumuweka madarakani aliyekuwa rais wa Iran mwenye msimamo mkali Mahmoud Ahmadinejad baada ya mashambulizi yaliyomuua aliyekuwa kiongozi mk