Operesheni ya hatari ilifanyika Afrika Kusini ambapo polisi waliingia mtoni wenye mamba kurejesha mabaki ya mwili,

Afısa wa Polisi Ajitosa Mtoni Mwenye Hatari Ili Kuokoa Mabaki ya  Binadamu.

Afisa wa polisi nchini South Africa alihusika katika operesheni ya hatari ya kuingia ndani ya mto unaojulikana kuwa na mamba ili kurejesha mabaki ya binadamu.

Taarifa zinaeleza kuwa tukio hilo lilihitaji ujasiri mkubwa kutokana na hatari ya kushambuliwa na wanyama hao pamoja na hali ya maji isiyotabirika.

Kwa msaada wa vifaa maalum na timu ya uokoaji, afısa huyo aliweza kufanikisha kazi hiyo bila kupata madhara yoyote,Mabaki hayo yamechukuliwa kwa ajili ya uchunguzi wa kitabibu na kisheria ili kubaini chanzo cha tukio hilo.

Wananchi wamepongeza juhudi za maafısa wa usalama kwa kujitolea maisha yao katika kulinda na kuhudumia jamii.

Chanzo:Newstimeshub 

#